Michezo

Sharapova atinga Robo fainali ya Stuttgart

Maria sharapova ameendeleza wimbi la ushindi katika mashindano hayo kwa kumchapa Ekaterina Makarova kwa seti seti mbili ya 7-5 6-1, katika michuano ya wanawake ya tennis ya Stuttgart.

Muingereza Johanna Konta ametupwa nje ya michuano hiyo na Anastasija Sevastova ambaye alishinda kwa seti mbili ya 6-3 7-5 huku

Wakati Konta akifungashiwa virago katika michuano hiyo ya wazi ya Stuttgart, Maria Sharapova anazidi kutakata.

Maria Sharapova amefanikiwa kutinga hatua ya Robofainali baada ya kumfunga Mrusi Ekaterina Makarova kwa seti 7-5 6-1.

BY HAMZA FUMO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents