Burudani

Shilole afanya ‘maamuzi magumu’ kuhusu mpenzi wake Nuh Mziwanda baada ya sauti yake akimtongoza Wema Sepetu kuvuja

Baada ya sauti ya muimbaji wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu kuvuja, mpenzi wake Shilole ametoa msimamo wake juu ya penzi lao ambalo limekuwa likikumbwa na majanga kila mara.

shishi na Nuh m

Kupitia Instagram yake, Shishi ambaye ndiye alikuwa akionekana kuwa ‘victim’ wa tukio hilo kwa kusalitiwa na boyfriend wake, ameweka wazi msimamo wake juu ya penzi lao kwa kupost picha wakiwa pamoja na wenye furaha na kuandika “M siachani nawe na ntakupenda zaidi!”

shishi insta

Hata hivyo Nuh Mziwanda alikana sauti ile kuwa sio yeye ni ya kutengenezwa, na Shilole amemsamahe (Soma hapa).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents