Mahojiano

Shuhudia mbwembwe za TID akimpiga mkwara Chid Benz, ukizingua kwenye kipindi ntakuvua (+ Video)

Wakali hao na wakongwe wa muziki wa Bongo Fleva wameamua kuingia upande wa pili wa maisha ambapo wameandaa kipindi chao kipya cah #NIYEYE ambapo watakuwa wanakiendesha wao.

@tidmusic ameeleza hasa sababu za kuamua kuingia kwenye utangazaji je muziki anauacha na kwanini ameamua kumchagua @official_chidibeenz ili afanye naye kipindi ?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents