Promotion
Sikiliza muziki kwa kujiachia zaidi na Tecno Boom J7
Ukiwa unasikiliza muziki kwenye Tecno Boom J7, huhitaji kurudi kwenye player kwenda next, slide mbele au nyuma kwenda nyimbo inayofuata au kurudia nyimbo.
Unaweza pia kujishindia Boom J7 mpya kwa kufollow ukurasa wa Instagram wa Tecno Mobile Tanzania. Ni rahisi sana. Bofya hapa na uende kufollow ukurasa wa Instagram wa Tecno Mobile Tanzania unaweza kuwa mmoja wa watu watakaoshinda.
Kwa taarifa zaidi like ukurasa wa Facebook wa Tecno Mobile Tanzania hapa.