
Klabu ya Simba imezindua rasmi jezi zake zitakazotumika kwaajili ya Michuano ya Ligi Mabingwa Barani Afrika ambazo zina maandishi ya #visittanzania
Hii sio mara ya kwanza kwa Simba SC kutumia #visittanzania kwenye jezi zake inapokuwa kwenye Mashindano ya Kimataifa.
Credit by @fumo255