Burudani

Simruhusu mwanangu Paula awe na simu – Kajala

Kajala amesema hadi sasa hamruhusu mwanae Paula kumiliki simu ya mkononi.

11005225_453301004824661_988776304_n

Akiongea kwenye kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni, Kajala alisema anaweza kufikiria kumruhusu kuwa na simu hadi pale atakapomaliza kidato cha nne.

11116646_430367217135082_168096430_n

Kajala alisema mtoto wake pia hayupo kwenye Instagram.

“Paula hana simu kabisa, sio tu simu ya Instagram hata tu kitochi, hana simu,” alisema.
“Na hawezi kuwa na simu labda mpaka afike form four, yaani nitakayomnunulia mimi.”

https://www.youtube.com/watch?v=ET8y6_gnpkY

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents