Michezo

Stars yarejea nchini ikitokea Benin (Picha)

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimewasili leo Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius K. Nyerere siku ya Jumanne Novemba 14, 2017 kikitokea Benin.

Stars ilisafiri kwenda Benin ambako imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji hao na kutoka sare ya bao 1-1 siku ya Jumapili ya wiki iliyopita.

Picha za wachezaji wakionekana Uwanja wa Ndege wa Julius K. Nyerere

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents