Habari
TANZIA: Mfanyabiashara Dkt. Reginald Mengi afariki Dunia
Mfanyabiashara maarufu Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mteendaji wa Makampuni ya IPP Media, Dkt. Reginald Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia Leo Mei 2, 2019 akiwa Dubai.
Bongo5 Media inatoa pole kwa familia ya marehemu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pepa peponi.
Endelea kukaa nasi kwa taarifa zaidi.