Burudani

Tarehe ya Fast & Furious 9 yasogezwa mbele

Ni matarajio ya watu wengi kuwa ifikapo mwaka 2019 basi wataiona filamu ya ‘Fast & Furious 9’, ila ratiba ya kuachia filamu hiyo imesogezwa mbele mpaka mwaka 2020.

Filamu hiyo ambayo ilianza msimu wa kwanza mwaka 2001 itatoa msimu wa tisa mwaka 2020 ifikapo Aprili 10, imekuwa ikiingiza pesa nyingi kutokana na mauzo yake katika soko la filamu duniani.

Waandaaji wa filamu hiyo Universal wameueleza mtandao wa Variety kuwa hawana sababu ya msingi iliyowafanya wasogeze mbele tarehe ya kutoka filamu hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents