Burudani

TID amzuia DJ ndani ya Club kupiga nyimbo za Nigeria ‘Ukifanya hivyo Nigeria utauawa’

Msanii wa muziki wa bongo Fleva, TID jana usiku amemzuia DJ K3 kupiga nyimbo za Nigeria na badala yake kumtaka apige ngoma za Tanzania tu kwani angekuwa Nigeria na angepiga nyimbo za Tanzania ndani ya Club zao wangemuua.

TID amesema hayo usiku wa jana kwenye Party yake maalum aliyoifanya ndani ya Club Elements ya kusikiliza wimbo wake mpya wa ‘ANY MORE’ aliomshirikisha Lady Jaydee.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents