Habari

TRA yavunja rekodi ya mapato; yafikia trilioni 1.7 kwa mwezi

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imekusanya trilioni 1.7 kwa mwezi mmoja kiwango ambacho kinaelezwa hakiwahi fikiwa toka kuanzishwa kwa mamlaka hiyo.

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mwezi Juni mwaka huu.

 

Msemaji wa serikali ametoa taarifa hiyo kupitia mtandao wa Twitter “TRA yavunja rekodi ya mapato; yafikia trilioni 1.7 kwa mwezi, haijawahi kufikiwa tangu kuanzishwa kwa Mamlaka hiyo.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents