Burudani

Trailer: Rick Ross Feat. Chris Brown – Sorry (video)

Rick Ross ameachia trailer ya video ya single yake aliyomshirikisha Chris Brown ‘Sorry’. Audio ya wimbo huo ilitoka mwanzoni mwa mwezi huu. ‘Sorry’ ni wimbo utakaopatikana katika album ya Rozay ‘Black Market’. Huu ni mwaka ambao Rozay ameshambulia vya kutosha kwa kuachia kazi (nyimbo na video) nyingi kwa kipindi kifupi kifupi. Wiki hii pia ametoa video ya wimbo wake mwingine ‘Bill Gates’.

https://youtu.be/tl6pS7VTrhc

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents