Burudani

Tunatamani kufanya kazi na Diamond ila kwanza Alikiba – ShiiKANE (+video)

Kundi la muziki kutoka Nigeria, ShiiKANE wamefunguka kuwa wanatamani kufanya kazi na Diamond na Alikiba.

Member wa kundi hilo, Shay amesema kuwa hata hivyo wangetamani kuanza na Alikiba ingawa hakueleza sababu.

“Tunatamani kufanya kazi na mtu kama Diamond ila kwanza Alikiba kisha Diamond ila tayari tumesha fanya kazi na Chin Bees ambaye ametufundisha Kiswahili kidogo katika kazi tuliyofanya,” ShiiKANE ameiambia Bongo5

Katika hatua nyingine member wa kundi hilo Ney amesema kuwa wanajaribu kutafuta njia ya kuweza kufanya kolabo na Vanessa Mdee kabla hawajaondoka.

“Nampenda Vanessa kwa sababu ni mrembo, mzuri, ana kipaji cha hali ya juu, anajituma na anasauti nzuri,” amesema Ney.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents