Twiga Stars imewatoa Ivory Coast na kufanikiwa kusonga mbele katika safari ya kufuzu Michuano ya WAFCON2024.
Twiga Stars imeshinda kwa goli 2-0 dhidi ya Ivory Coast (2-2) na hivyo kupigwa penati na kuibuka na ushindi wa matuta 4-2