Michezo

Uchambuzi kupitia DStv: Messi kuondoka Barcelona ama kubaki, Edo Kumwembe, Ibrahim masoud, Maulid kitenge (+Video)

DStv imetangaza kuzinduliwa rasmi kwa Msimu mpya wa Soka ambapo wameongeza baadhi ya ligi mbili ambazo ni ligi kuu nchini Ubelgiji na nchini Scotland,sasa maandalizi ya ligi kubwa na maarufu duniani yamekamilika na ligi hizo zinatarajiwa kuanza siku chache zijazo.

Ikisubiriwa ligi hizo kuanza siku ya jumamosi tarehe 29 ambapo kutakuwa na mchezo wa ufunguzi au ngao ya hisani kati ya Mabingwa wa EPL Liverpool dhidi ya mabingwa wa FA Cup Arsenal.

Wakiwa wamealikwa wadau mbalimbali wa soko wakiwemo watangazaji, wachezaji wa zamani walitoa maoni yao kuhusu kauli aliyoitoa mchezaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi ya kutangaza kuondoka klabuni hapo. na haya ndio yalikuwa maoni yao.

Uzinduzi wa msimu mpya wa Soka ndani ya @dstvtanzania pekee #EPL #LaLiga #UEFA.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents