Burudani

Utani wa Godzilla kuhusu ndevu za idris

Hivi karibuni baada ya Idris Sultan kuamua kubadili rangi ya ndevu zake, wametokea masuper star mbali mbali kumtania, kwa mfano jana Ommy Dimpoz alifanya hivyo. Leo Rapa Godzilla naye kachukua nafasi, hapa chini tumekuwekea picha aliyopost instagram, kisha wakaenda kujibizana twitter.

 

Tweet ya Godzilla
alichojibu Idris

 

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents