Uzinduzi Kisarawe Ushoroba Festival wanoga Aunt Ezekiel aingia na kigoma, Waziri Jafo, DC Jokate washuhudia (+Video)

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa, Selemani Jafo akiwa na DC Jokate wakitembelea wajasiriamali waliyofika na kutangaza bidhaa zao kwenye shamrashamra kuelekea Tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival kwaajili ya kutangaza utalii wa ndani.

Katika uzinduzi huo  msanii wa filamu nchini Aunt Ezekiel alifika na kigoma katika kunogesha sherehe hizo za ufunguzi wa Kisarawe Ushoroba Festival.

Related Articles

Back to top button