Burudani
Vanessa Mdee atoa burudani ya nguvu kwa mashabiki zake, Gigy Money afanyakweli jukwaani (+video)
Mashabiki wapagawa na burudani iliyotolewa na msanii wa muziki Vanessa Mdee baada ya kuwaimbia nyimbo kadhaa huku akisindikizwa na Gigy Money.