Burudani

Vanessa Mdee kuachia single yake December 28, 2012

Vanessa-Mdee1

Baada ya kusikika kwenye ngoma mbili alizoshirikishwa na AY pamoja na Ommy Dimpoz, hatimaye Vanessa Mdee anatarajia kuachia single yake mwenyewe December 28.

Kupitia Twitter Vanessa ameandika:

vanessa

Vanessa ambaye ni mtangazaji wa MTV Base na Choice FM hivi karibuni amejikusanyia sifa kibao kwa kufanya vizuri kwenye ngoma ya AY ‘Money na ile ya Ommy Dimpoz ‘Me and You’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents