Burudani

Video: 8 Minutes of Dj D-Ommy (Mini Documentary)

Dj wa Times FM, D-Ommy ameachia documentary yake fupi aliyoipa jina ‘8 Minutes of Dj D-Ommy’.

“Safari hii nimekuja na Mini Documentary ya dakika 8 inayoonyesha jinsi ninavyoziandaa Non Stop Mixx zangu. Pia changamoto gani ninazokutana nazo wakati naziandaa na ni watu gani ambao wako nyuma ya pazia wakati wa uandaaji,” amesema D-Ommy.

“Pia nimezungumzia safari yangu ya Nairobi Kenya na jinsi gani ambavyo nimeadvance hii idea yangu ya Mixx kwa mwaka 2015,” ameongeza.

“Kwa ushirikiano na vijana wenzangu wa IDEAL CONCEPTS, George Goyayi, Reginald Maro na Sadick Hamad tukatoka na kitu hiki.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents