Videos

Video: Ashanti akimhoji ex wake Nelly kuhusu aina ya msichana anayempenda n.k

Pamoja na kwamba wameachana na kila mmoja kuendelea na maisha yake, Nelly na Ashanti bado ni watu wa karibu kiasi cha kukaa na kuongea masuala ya mahusiano. Katika interview ya Fuse News, Ashanti aligeuka mtangazaji na kumhoji Nelly masuala kibao kuanzia mahusiano, muziki na mambo mengine huku wakicheka na kufurahia. Tazama video.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents