Videos
Video: Tangazo la Beyoncé la H&M Summer Collection 2013 (Bey has never been this sexier)
Tangazo la Beyonce la H&M Summer Collection 2013 leo (April 25) limetoka ambapo mke huyo wa Jay-Z anaonekana akicheza ufukweni mwa bahari na madansa kadhaa. Wimbo anaosikika akiuimba unaitwa “Standing on the Sun.