Burudani
Video: Babu Seya na Papii Kocha waki-perform wimbo ‘Seya’ kwa mara kwanza tangu kutoka jela

Usiku wa kuamkia March 11, 2018 historia iliandikbwa baada ya Babu Seya na Papii Kocha kuonekana tena jukwaani wakiimba kibao pendwa kabisa ‘Seya’., hii ni baada ya kutumikia kifungo gerezani kwa miaka 14.