Videos

Video: Bow Wow amkiss tena Tyra Banks live kwenye TV, awamu hii ni zaidi

Unakumbuka mwaka 2009 ndoto ya Bow Wow ilipotimia baada ya kumbusu Tyra Banks kwenye The Tyra Banks Show?

tyrabowwow
Bow Wow alivyombusu Tyra Banks mwaka 2009

So, jana imetokea tena. Awamu hii ni katika mazingira tofauti. Ni katika show yake mwenyewe Bow Wow ya 106 & Park ya BET na Tyra alikuwa mgeni.

http://www.youtube.com/watch?v=AcQ8u6SWAoQ

Awamu hii pia Tyra ndiye aliyeitaka busu hiyo. “You tryna do the remix?” Tyra alimuuliza Bow Wow.

Baadaye aliinua miguu yake na kuweka kwenye mapaja ya Bow Wow na kukutanisha lips zake laini kwa dogo Bow Wizzy. Baada ya tukio hilo, rapper huyo wa YMCMB alijisifia kuwa yeye ndio mtangazaji bora zaidi wa kiume kwenye TV.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents