Burudani

Video: Cassper Nyovest, Boity, Bonang wanga’ra kwenye tuzo za mitandao ya kijamii za Channel24

Shirika la habari la Channel 24 la Afrika Kusini limetangaza washindi wa tuzo zake za online (Channel24 Online Awards).

Tuzo hizo zilikuwa na vipengele 10.

Baadhi ya washindi ni pamoja na Bonang Matheba aliyeshinda tuzo ya jumla ya uwepo kwenye mitandao ya kijamii.

Cassper Nyovest ameshinda Best YouTube video na Best Couple akiwa na Boity huku Roxy Burger amechukua tuzo ya Best Selfie.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents