Burudani
Video: Chidinma feat. M.I Abaga – Lorry
Siku chache baada ya mwimbaji wa kike kutoka Nigeria, Chidinma kuachia single yake mpya aliyomshirikisha M.I Abaga – Lorry, sasa ameachia video ya wimbo huo iliyoongozwa na Clarence Peters.
https://youtu.be/zH3e63TBmD0