Burudani

Rekodi mpya ya Youtube yafikiwa, huyu ni mtu wa kwanza kufikisha views bilioni 10 za video zake!

PewDiePie kwa wale ambao hawamfahamu ndio mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Youtube.

pewdiepie

Hadi sasa PewDiePie ana zaidi ya subscribers milioni 39.

Weekend hii mtu huyo alifikisha views bilioni 10 za video zake zote kwa pamoja, kitu ambacho kimevunja rekodi ya mtandao wa Youtube kwakuwa imevuka kaunta yake (kikomo cha views).

Hii si mara ya kwanza kwa video maarufu kuvuka kaunta ya YouTube kwakuwa wimbo Gangnam Style wa Psy ilivunja rekodi mwaka jana kwa views za video moja kwa kuwa na views 2, 147, 480, 647.

Kutokana na views hizo, mtu huyo ameingiza takriban $75, 000, 000

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents