Burudani

Video: Coyo azungumzia uwezo wake wa kurap na wana hip hop anaowakubali

Msanii wa muziki wa hip hop kutoka label ya Tetemesha Record, Coyo amefunguka kuzungumzia uwezo wake wa kuimba na kurap.

Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo, Ziwafikie, amesema hataki kujisifia kwamba yeye ni mkali wa kuchana kwa kuwa mashabiki wakisikiliza kazi zake watatoa jibu kuhusu uwezo wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents