Burudani

Video: Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee watajwa kufanya vizuri Kenya

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya katika kundi la P-Unit, Gabuu ametaja orodha ya wasanii wa muziki wa Bongo wanaosikilizwa zaidi nchini humo. Wasanii hao ni Diamond Platnumz,Vanessa Mdee, Alikiba,Chegge, Ben Pol,Chin Bees na wengineo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents