Videos
Video: Julio Batalia Ft. Mucky Comando – One Day

Mshiriki wa Big Brother Stargame Africa 2012, na msanii wa Muziki wa bongo fleva, Julio Batalia amechia video mpya wimbo unaitwa ‘One Day’, amemshirikisha Mucky kutoka kundi la Macomando, Video imeongozwa na Lucca Swahili.