Burudani

Video: Kanye West atangaza kugombea urais wa Marekani mwaka 2020

Kanye West ametangaza kuwa atagombea urais mwaka wa Marekani mwaka 2020.

Kanye ametoa tangazo hilo kwenye tuzo za VMA zilizofanyika Jumapili hii.

“Ndio kama ambavyo mnaweza kuwa mmebashiri muda huu, nimeamua mwaka 2020 kugombea urais,” alisema Kanye na kuacha ukumbi mzima ukishangalia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents