Video: Kuna udhaifu Ligi Kuu, Azam hawajui wanachokitaka, Yanga kazi wanayo Jumapili – Mwl Kashash

Mchambuzi wa soka nchini Mwalimu Kashasha amesema kuwa kitendo cha Simba na Yanga kuchukua ubinga wao kila siku hii inaonyesha kuwa kuna udhaifu Ligi Kuu, huku akidai kuwa  Azam hawajui wanachotaka kunako ligi hiyo. Mwl Kashasha amezungumzia mchezo wa Jumapili baina ya Yanga dhidi ya Simba na kudai Mnyama Simba ana kikosi kipana zaidi ila Derby hii ya Kariakoo huwa haitabiriki.

Related Articles

Back to top button