Habari

Video: Kutana na Twista wa Bongo, Slimsal, another new artist to watch in 2013

SLIMSAL COVER 02

Mara ya kwanza tunamwona Slimsal ilikuwa ni kwenye show ya After School Bash iliyofanyika Mbalamwezi Beach. Rapper huyu mkali alipanda kwenye stage kama hype man wa Godzilla na kwa muda mfupi aliokuwa kwenye stage ilitosha kuwaonesha watu waliohudhuria uwezo wake mkubwa alionao katika Rap.

Pamoja na kurap kawaida, Slimsal ana uwezo wa aina yake katika style ya rap ya haraka haraka iitwayo Tongue Twista! Mtazame hapa akionesha kile akiwezacho zaidi kwenye beat ya wimbo wa Drake, Forever.

http://www.youtube.com/watch?v=tlGBAQcZt2M&feature=player_embedded

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents