Videos
Video: Madee – Joka la Kibisa
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Mdee Ali ameachia video yake mpya ya wimbo Joka la Kibisa. Video ya wimbo huo imeandaliwa na Kwetu Studio huku audio Producer, Daxo Chali.
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Mdee Ali ameachia video yake mpya ya wimbo Joka la Kibisa. Video ya wimbo huo imeandaliwa na Kwetu Studio huku audio Producer, Daxo Chali.
Madee au mdee…
akajambe mbele
Sema huo mdundo upo Sawa Sana na ngoma moja hapa South inaitwa club control
Kumbe ni ndugu yake na Vanessa Huyu et? 🙆🏻♂️
Kitu kama nikizuri tuta sema kama kibaya tuta sema cku tegemea kwa ukimya wa muda mrefu uka toa utumbo kama huu Ahamad niseme ume mtungia omy d ukweli ni huo on lov ila wimbo hauko ok niseme ukweli ume feli 0000000
Huyu jamaa siku hizi beat zinambeba ila hakuna kitu umo
Nyimbo ina bit nzr xana tena bit inayo faa kutungia nyimbo ya international but ajaimba kitu kinacho eleweka kabisa