Burudani
Video: Mrisho Mpoto ft Banana Zorro – Sizonje
Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto Jumamosi hii ameachia video yake mpya ya wimbo Sizonje. Video imeandaliwa na kampuni ya Wanene Film chini ya director Hanscana.