Burudani

Video na wimbo mpya wa Linah kutoka baada ya Ramadan

Linah Sanga ataachia wimbo na video yake mpya baada ya mwezi mtukufu wa Ramadan.

11379124_1598216107123220_386836954_n

Taarifa hiyo imetolewa na kampuni inayomsimamia, Panamusiq.

“So we decided to release @officiallinah new song & video after Ramadan. ’cause we want to release with a BANG!!! I mean the noise u’ll get over sikuku is nothing compared to the noise we are going to make with this tune!!! Just get your earplugs handy,” wameandika.

Hivi karibuni Linah alishoot video ya wimbo huo na kumtumia muongozaji wa Afrika Kusini, Godfather.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents