Bongo Movie

Video: Nilisema napenda wanaume wenye sura mbaya siyo wabaya – Irene Uwoya

Malkia wa filamu Irene Uwoya amefunguka kufafanua kauli yake ya kuwa anapenda wanaume wenye sura mbaya ambayo ilitafsiriwa vibaya na baadhi ya mashabiki katika mitandao ya kijamii.

Muigizaji huyo amedai kauli hiyo alikuwa inamaanisha kwamba anapenda wanaume wenye muonekano wa kiume.

“Niliongea kwamba napenda wanaume wenye sura ngumu siyo wanaume wabaya wenye sura za kiume,” Muigizaji huyo aliwaambia mashabiki waliojitokeza kwenye show yake ya Valentine’s Day.

Pia muimbaji huyo amedai hapendi wanaume ambao wanamtokea huku wakieleza mali zao pamoja na magari ya kifahari.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents