Burudani

Video/Picha: Alikiba aanza mazoezi ya nguvu Coastal Union Tanga

Mwanamuziki Alikiba ameanza mazoezi ya nguvu kujiandaa na ligi kuu Tanzania Bara akiwa na timu yake ya Coastal Union ya mkoani Tanga.

https://www.instagram.com/p/BmBjDVohsPa/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=1hk12gnkkvvu4

Ni siku chache toka klabu hiyo itangaze kumsajili muimbaji huyo mwenye kipaji cha hali ya juu cha kusakata kabumbu.

Wiki iliyopita akiwa kwenye harusi ya dada yake Zabibu aliyeolewa na mchezaji mpira Banda, alisema atakwenda kuichezea Coastal Union usimu huu.

Mashabiki wa muziki na wadau wa mambo wanajiuliza muimbaji huyo hatawezaje kuwahudimia mashabiki wa mpira na muziki kwa wakati mmoja.

Related Articles

24 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents