Burudani

Video: Rapa ‘Coyo’ awajibu mashabiki wanaomfananisha na Kcee

Rapa Chipukizi anayefanya vizuri na ngoma yake ya ‘Ziwafikie’ Coyo amefunguka na kusema kuwa hategemei kiki ya kufananishwa na baadhi ya Mashabiki na Msanii mkubwa kutoka Nigeria ‘Kcee’ .

Akizungumza na Bongo5, Coyo amesema kuwa anaambiwa na watu wengi hususani mashabiki wake kuwa anafanana na Rapa Kcee, lakini yeye hatumii kabisa kigezo hicho kujitangaza, badala yake anatoa kazi nzuri ili kuweza kufikia malengo yake.

Msikilize hapa chini kwenye mahojiano yake akifunguka pia kuhusu safari yake ya muziki kiujumla

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents