Videos

Video: Tazama daraja la Kigamboni linavyopendeza usiku

Daraja la Kigamboni linaweza kuja kuwa kivutio kingine muhimu jijini Dar es Salaam. Ni kwasababu daraja hilo la ‘cable – stay (linalobeba uzito kwa nyaya au kamba) linavutia sana usiku.

12940749_954058448047433_1583120838_n
Daraja la Kigamboni usiku

Daraja hilo litakalozinduliwa rasmi Jumanne hii na Rais Dkt John Pombe Magufuli limegharimu zaidi dola milioni 140, na litachukua nafasi ya feri inayosafirisha watu na magari kati ya Kigamboni na Kivukoni upande wa mjini Dar.

Tayari wananchi na magari wameanza kulitumia daraja hilo.

CgUDAwqWIAARwZO.jpg large

Picha/Video: By Slide Visuals

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents