Habari

Video: Tazama nyama ya fisi ilivyogeuka dili kijiji cha Bukungu, Geita

Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Bukungu wilayani Nyang’hwale mkoani Geita ‘walipoamua kugawana nyama ya fisi na kutoa sabau lukuki za kugombea nyama hiyo.

https://www.instagram.com/p/BmttB9ul3nZ/?taken-by=azamtvtz

Hatua hiyo imekuja baada ya mnyama huyo aliyeingia kwenye zizi la Mbuzi na Kondoo linalomilikiwa na Bwana Mpuya Ganganyi, saa 10 alfajiri kukumbana na kifo kutoka kwa majirani wa mfugaji huyo baada ya kupata kibali cha kumuua.

Kwa mujibu wa mwandishi wa Azam Tv Geita, aliyeshuhudia tukio hilo la kugombea nyama hiyo amesema, ilikuwa kama sinema baada ya mnyama huyo kuuawa na watu kuamua kugawana nyama yake kwa madai kuwa ni dili kwa waganga wa kienyeji.

Related Articles

One Comment

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents