Burudani

Alikiba na mke wake watoa msaada kwa watoto yatima Kigamboni (Picha)

Msanii wa muziki Alikiba akiambatana na mke wake pamoja na watu wake wa karibu siku ya jana walitembelea kituo cha watoto yatima cha Amani Orphanage Foundation kilichopo Kigamboni jijini Dar es salaam na kutoa msaada wa vitu mbalimbali.

Alikiba akiwa na mke wake pamoja na baadhi ya watoto wao.

Muimbaji huyo amefanya tukio hilo ikiwa ni siku chache toka arejee nchini Tanzania akitokea Toronto nchini Marekani kwenye tamasha la Africa All Star Music Fest.

“Education,Food,Shelter, And ,Love That’s All They Need From You ❤️ me and my lovely Wife 🤪 We Do #AmaniOrphanageFoundationKigamboni #KingKiba,” aliandika Alikiba kupitia instagram yake. Angalia picha zaidi.

Related Articles

14 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents