Burudani

Video: Trailer ya series mpya ya action ya Uganda ‘Beneath The Lies’

Beneath the Lies ni series mpya iliyochezwa na mastaa kibao wa Uganda ambayo inatarajiwa kuanza kuruka kwenye Urban TV, December.

https://www.youtube.com/watch?v=YudIYkib7Qk

Imetayarishwa na Cedric Babu na Nana Kagga chini ya makampuni yao Kinetic Management na Savannah Moon Production.

Series hiyo ina mastaa kama Cedric Babu, Patrick Idring, Flavia Tumusiime, Susan Nava, Natasha Sinayobye, Daniel Omara, Hellen Lukoma, Rabadaba na Diana ‘Deedan’ Muyira.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents