Habari
Video: Tulidhani Yanga watakata pumzi wakawasha moto tu – Ahmed Ally
Afisa Habari wa Simba SC @ahmedally_ amedai maambalizi ambayo waliyafanya katika msimu uliopita yaliwadanganya.
Amesema hayo akiwa kwenye mdahalo wa kuangalia tathmini ya Ligi Kuu ya 2021/22 na mchango wa serikali katika kuchochea ukuwaji wa mpira.