Habari

Video: Tundu Lisu afunguka mkojo wa Wema Sepetu kupokelewa mahakamani

Wakili wa malkia wa filamu nchini Wema Sepetu, Tundu Lisu ameongea na waandishi wa habari Ijumaa hii mahakamani Kisutu baada ya Hakimu Thomas Simba kuupokea na kuukubali ushahidi wa mkojo wa muigizaji huyo ambao ulipimwa na Mkemia Mkuu wa serikali na kukutwa na chembe chembe za dawa za kulevya aina ya Bangi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents