Habari

Video: Walter Chilambo atoa video ya wimbo wake mpya ‘Mi Ni Wako’

Mshindi wa EBSS mwaka jana Walter Chilambo ametoa video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Mi Ni Wako’ ikiwa ndio video yake ya kwanza toka atangazwe mshindi wa EBSS.

http://youtu.be/rVM0kg7-gXM

Walter ambaye ameshatoa single mbili toka atangazwe kuwa mshindi wa EBSS (2012)ambazo ni ‘Siachi’ pamoja na ‘Doro’, hakuwahi kutoa video ya single hizo na kufanya hii iwe video yake ya kwanza.
video ya ‘Mi Ni Wako’ imetayarishwa na Jackson Joachim wa kampuni ya Ives Entertainment na audio yake imerekodiwa studio ya PG Production.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents