Burudani

Video: Wasanii wa Bongo Movie tutaanza kushoot filamu kwa helikopta – JB

Msanii mkongwe wa filamu, Jacob Stephan aka JB amefunguka kwa kudai kwamba kwasasa tasnia ya filamu mambo yameanza kuwa mazuri ambapo ameahidi mambo yakiendelea hivyo mwakani wasanii wa filamu wataanza kushoot movie kwa kutumia helikopta.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents