Habari

Vijana tumieni kinga- Serikali yaonya, magonjwa ya ngono yaongezeka

Serikali imesema idadi ya watu wanaougua magonjwa ya ngono imeongezeka kutoka wagonjwa 458,914 hadi wagonjwa 480,448 mwaka huu.

Kutokana na hali hiyo Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa Watanzania kutumia kinga ili kujikinga na magonjwa ya ngono.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents