Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Vituo vya Redio nchini vyapigwa msasa namna ya kupata matangazo na shirika la EARS

Kutokana na changamato nyingi zinazozikabili vituo vingi vya Redio hapa Nchini hususani katika masuala mazima ya mapato ambapo vingi husuasua katika kujiendesha.

suala hili limepatiwa ufumbuzi baada ya Ma-CEO na Wakurugenzi wa vitu vya Redio nchini kukutanishwa na shirika la EARS na kupigwa msasa namna ya kufanya matangazo kwa ajili ya kuviingizia vipato vituo vyao.

Akiongea na wanahabari Kiongozi wa kampuni ya Ears ndugu Sinda Madadi amesema lengo hasa ni kuzisaidia Redio za hapa Nchini ziweze kupata mapato kupitia matangazo Pamoja na Redio za mikoani

Pia ameleza namna ambavyo wameunda vifurushi mbalimbali kwaajili ya kujiunga huku akitoa wito kwa wafanya biashara wanaofanya matangazo waenende sawa na Teknolojia

Related Articles

Back to top button