Habari

Volkano ilivyolipuka kwenye milima iliyopo katika visiwa vya Canary Uhispania (+ Video)

Siku ya jana Jumapili Volkano ililipuka kwenye  milima iliyopo kwenye Kisiwa cha Canary kilichopo nchini Uhispania na kupelekea mlipuko mkubwa wa lava angani na baadae lava hiyo kutiririka katika mito na kuelekea kwenye nyumba zilizopo katika vijiji viwili karibu na Hifadhi ya kitaifa ya Cumbre Vieja kusini mwa Kisiwa hicho.

Mamlaka ziliameanza kuwaondoa wakazi wa eneo hilo na wanyama ingawa inaelezwa kuwa Masaa mawili baadaye, na lava ilipungua chini ya kilima kutoka kwenye nyufa tano zilizopasuka kwenye kilima, manispaa iliamuru kuhamishwa kwa vijiji vinne, vikiwemo El Paso na Los Llanos de Aridane.

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/p/CUCWF_XjxVI/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents